E-Sir
Hamnitishi
[Intro: E-Sir]
Vitisho vya peni mbili
Vitanifanya mimi nini?

[Chorus: Tallia Oyando]
Hamnitishi-tishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii
Hamnitishi-tishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii

[Verse 1: E-Sir]
Bila spare tyre
Nasafiri kwenye barabara ya maisha bila kutaka
Saa yoyote naweza kupata puncture
Kwa hivyo naendesha gari yangu pole pole sana
Allahu akbar, Mungu ni mkubwa
Asante Baba kwa kunisaidia kujua
Ukiotesha mazuri, mazuri utavuna
Tangu siku yangu ya kuzaliwa mpaka siku hii tumefika
Hakuna mtu angewahi fikiria sifa za E-Sir
Yule kijana aliyekuwa akikaa jobless corner
Akisaga gomba ijapokuwa amesoma
Angekuwa akisikizwa kwa redio
Matamshi kukubaliwa na kila masikio
Kucheza kuku dance au chakacha, ndio matokeo
Leo ni leo
Nikiregea cha kwangu kitapepea, si mimi
Ni maisha ninayoishi, hamnitishi, hamnibabaishi

[Chorus: Tallia Oyando]
Hamnitishi-tishi
Hamnitishi-tishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii
Hamnitishi-tishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii

[Verse 2: E-Sir]
Niliambiwa kidole kimoja hakiwezi ua chawa
Ndege hawezi kupaa bila mabawa
Bila nyinyi, singefika hapa
Bila mpira, utacheza aje game ya kandanda?
Asanteni kwa kunipa moto wa kuandika
Asanteni, wakati wa vita, kunisimamia
Asanteni kwa kuwika, mtu akimshika
Ametushika na hiyo ni shida
Pirates mpaka kufa
Na singependa kukufa bila nyinyi kujua
Mimi si mimi bila nyinyi
Na nyinyi ndio maisha ninayoishi
Ndio sababu hawanitishi

[Bridge: Tallia Oyando]
Hamnitishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii mimi
Hamnitishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii mimi

[Verse 3: E-Sir]
Nimefika
Ongeza volume na ukaribie speaker
Ya tatu ni ya kila mtu aliyenisaidia
Kutoka Ogopa Deejays mpaka in-the-booth DJs
Waliokuwa waki-present halafu kumwambia replay
"Hiyo ngoma imetubamba, asanta!"
Ndio sababu polisi, ma-emcee
Maadui, hii industry
Hawanitishi, hawanibabaishi
Maisha ninayoishi hayanikubali

[Chorus: Tallia Oyando]
Hamnitishi-tishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii
Hamnitishi-tishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii
Hamnitishi-tishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii
Hamnitishi-tishi
Hamnibabaishi
Maisha nayoishi
Hayanikubalii

[Outro: Tallia Oyando]
Hamnitishi-tishi
Hamnitishi-tishi
Hamnitishi-tishi
Hamnitishi-tishi