Sauti Sol
Extravaganza
[Chorus: Sauti Sol]
Ayeee, rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area, kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Bensoul alipofika, alifunika, eeeh

[Verse 1: Bensoul]
Wakaja na ma-drama
Sinema zetu ni telenovela, eeeh
Wakasunda mizinga
Hawakujua si tuko mavela, yeeh
Wakaita polisi
Kumbe polisi pia ni shabiki, eeeh
Wakaficha msosi
Wakatupata na dishi mezani, yeeh

[Chorus: Sauti Sol and Bensoul]
Ayeee, rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area, kumechacha (Kila kona, yo, yo)
Karibuni kwenye extravaganza
Na Nviiri alipofika, alifunika, eeeh

[Verse 2: Nviiri the Storyteller]
Walifunga milango
Wakatupata tuko ndani nao (Uh)
Wakaita makanjo
Kumbe ni sisi huwalipa salo, wo-wo (Wo-wo)
Wakazima mitambo
Shabiki wakabaki kwenye dance floor
Na iwe funzo kwao (Uh)
Tunaongoza, wanafuata nyayo, yo
[Chorus: Sauti Sol]
Ayeee, rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area, kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Na Crystal alipofika, alifunika, eeeh

[Verse 3: Crystal Asige]
Wakaja na umati
Wakageuka kuwa wafuasi (Eeeh)
Wakaja na majini
Wakapata tushazama kwa dini (Oh, oh, oh, oh)
Nywele za kifarasi
Lakini si ni moto ya makasi (Oooh)
Risasi, mwendo kasi
Dandieni msiwachwe na basi, eeeh

[Chorus: Sauti Sol and Crystal Asige]
Ayeee, rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area, kumechacha (Kila kona, oh)
Karibuni kwenye extravaganza
Kaskazini walipofika, walifunika, eeeh

[Verse 4: Chris Kiomo, Israel Onyach and Eugene Ywaya]
Wakaenda kusini
Wakajipata wako kaskazini, eeeh
Wakaja na magigi
Lakini si tukaja na mziki, eeeh
Woah, woah, woah, yeah, yeah, yeah
Hata wazime taa, tutazidi ku-party
Woah, woah, woah, yeah, yeah, yeah
Hizi vitu hazitakangi utiaji
Na wakiapisha (Tunaapisha)
Na wakifunika (Tunafunua)
Eh, wakianika (Tunaanua)
Na wakisafisha (Tunachafua)
[Chorus: Sauti Sol]
Ayeee, rhumba imetamba (Mama yo-yo-yo)
Sauti Sol inna di area, kumechacha (Kila kona)
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza
Ayeee, rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area, kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza

[Outro: Savara and Bien-Aimé]
Why you looking for trouble, trouble, trouble?
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela, cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
Why you looking for trouble, trouble, trouble?
Bibi ya wenyewe is a no-go zone
Kabla ukute vitu, piga protection
Nairobi, mwizi, utageuzwa jivu
Why you looking for trouble, trouble, trouble?
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela, cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
Why you looking for trouble, trouble, trouble?
Bibi ya wenyewe is a no-go zone
Kabla ukute vitu, piga protection
Nairobi, mwizi, utageuzwa jivu