Sauti Sol
Issa Vibe
[Intro]
Usiogope kutoa wazimu
Issa Vibe Issa Party each and every jam session
(Gituamba!)

[Chorus]
(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party
Each and every jam session
(Turn around) Turn around back it up
I wanna see you in rotation
Juu nimecome kudo kile umecome kudo
Usiogope kutoa wazimu
(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party
Each and every jam session

[Verse 1]
Vile umedunga look at you
Vibe zimechocha zimecome through
I've been looking around
Looking for someone like you
Won't you come my way
Juu kuna wanati wamekuja na mavela
Na mapinchi wanachunana mahela
Na kile nataka ni kukatika nawe
Katika tena na tena
Na kila mahali kumewaka tu mavela
Na mapinchi wameshaachafua meza
Na kile nataka ni kukatika nawe
Katika tena na tena
Oh nisamehe
What I'm about to do ni kubleki tu
Nisamehe
Issa Vibe Issa Vibe Issa Vibe

[Chorus]
(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party
Each and every jam session
(Turn around) Turn around back it up
I wanna see you in rotation
Juu nimecome kudo kile umecome kudo
Usiogope kutoa wazimu
(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party
Each and every jam session

[Verse 2]
Savara na Kenchez Muya
Waluhya vakhana khuvatuya
Wale wabaya pia we unatambua so
Fuata nyayo step piga hatua
Kama hujui basi leo utajua
Cheza na radar ka'
Umekibeba na
Uslete noma ka'
Zimekushika na
Bonga na Rhoda
Pale kwa kona
Toto kiboko pia wewe unaona
Anavyozungusha kiuno utakoma
Mister Selekta usikatisie ngomaaa
Issa Vibe
[Chorus]
(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party
Each and every jam session
(Turn around) Turn around back it up
I wanna see you in rotation
Juu nimecome kudo kile umecome kudo
Usiogope kutoa wazimu
(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party
Each and every jam session

[Verse 3]
Mbogi ni ya Rongai
Matatu 125
Warembo hips don't lie
Mbogi ya Kimonyoski
Juu ya Timber na maKhaki
Mangoto na maNatty
Macookie na makeki
Makali na majani
Na tunaiwasha katikati
Ikizima tunaseti
Basi roll ingine freshy
Chini ya maji tunamedi
And I don't wanna be your boyfriend
Mi nataka one night stand
Na vile umedunga utafanya mi nispend (kichwa tu)
And I don't wanna be your boyfriend
Mi nataka one night stand
Na vile umedunga utafanya mi nispend
Oh no no no no
Don't you know Issa Vibe
[Chorus]
(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party
Each and every jam session
(Turn around) Turn around back it up
I wanna see you in rotation
Juu nimecome kudo kile umecome kudo
Usiogope kutoa wazimu
(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party
Each and every jam session

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party
Each and every jam session
(Turn around) Turn around back it up
I wanna see you in rotation
Juu nimecome kudo kile umecome kudo
Usiogope kutoa wazimu
(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party
Each and every jam session