[Intro: Bien]
Another one for the ladies, Sauti Sol
Yeah, yeah baby
Touch me baby
[Verse 1: Bien]
Tulipokuwa primo, ulisema umeninoki
Nikakuseti kwa odijo
Tukaingia seco, adole zikanipanda
Nikaku kiss kwenye bus stop, yeah
Tukaingia campo, nikasema nakupenda
Ukasema unasoma
[Pre Chorus]
Na bado nakuona daily
Looking fly nakufeel even more uuuuh
Oooh, I wonder what I’m gonna do
If you ever walk out the door
[Chorus: Sauti Sol]
Bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana, nikikuona nina pagawa
Bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile
Love is a strong thing (strong thing,strong thing)
My love is a strong thing (strong thing,strong thing)
[Verse 2: Delvin]
Tukamaliza campo, nikaanza kuimba
Ukapata kajobo (downtown)
Tukapatana tao, you were looking very sexy
Tukawasha ka vodo, ukawa tipsy kidogo
Ukasema unanipenda na huwezi kuniacha
Tangu zamani ulinipenda ila hukuweza sema
Ukasema unanipenda na huwezi kuniacha
Tangu zamani ulinipenda ila hukuweza sema
[Pre Chorus: Bien]
Na bado nakuona daily
Looking fly nakufeel even more
I wonder what I’m gonna do
If you ever walk out the door
[Chorus: Sauti Sol]
Bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana, nikikuona nina pagawa
Bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile
Love is a strong thing, strong thing, strong thing
My love is a strong thing, strong thing, strong thing
[Verse 3: Chimano]
Nikaimba lazizi (lazizi wangu we)
Nikaimbia polisi (ohhhhhhh)
Na nikaimba soma, soma, soma (oh yeah)
Na nikasema popote ulipo, mi nakuwaza mama
(I’m a, I’m a, I’m a gentleman)
(I’m a, I’m a, I’m a gentleman)
[Pre Chorus: Bien]
Na bado nakuona daily
Looking fly nakufeel even more
I wonder what I’m gonna do
If you ever walk out the door
[Chorus: Sauti Sol]
Bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile
Bado we ni yule yule,bado nakufeel baby vile vile
Ukiwa mbali nakonda sana
Nikikuona nina pagawa
Bado we ni yule yule, bado nakufeel baby vile vile
Ulopa ngoma...
Pa pa pa pa pa yeah...
[Outro]
Na sasa uko fifty, bado unakaa fiti
Yeah you can gerrit