Everlast
Gudi Gudi
(It's Jegede on the Beat)

[Chorus: Everlast and NaiBoi]
Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe Coke Fanta aaaaaaa

Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe Coke Fanta aaaaaaa

Na tuko tu Pacho kwenye boss iko nini

[Hook: Everlast]
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la

[Verse 1: NaiBoi]
NaiBoi (Kwani boss...)
Kusema kweli baby mi ushanichanga
Ntakulinda kama kuku na vifaranga
Na Mimi Sitakucheza kama kandanda
Nikikucheki roho hupiganga kama kinanda
Nacheki kuna so much more
Njoo unipe me alone
Wachana na hawa ma yo yo
Mi sinanga story noooooo
Kwa keja yetu viti zina makitambaa
Na mother hatakangi nilete wasichana
So baby twende tupitie route panya aaaaaaa
[Chorus: Everlast]
Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe coke fanta aaaaaaa

[Hook: Everlast]
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la

[Verse 2: Everlast]
Baby njoo unipe gudi love
Nikupe everything you deserve
Napenda ukidunga biker
Unafanya nashikwa na rohoo
Najua baby umenimiss
Kalips kako poa nipe kiss
Yours it should fit
Hakuna mafisi we ndo wangu my miss
Ile neno vile unavyozungusha zungusha
Ushanimaliza unanichizisha chizisha
Napenda unavyosmile toka far
So gudi gudi let me take you cruising to Dubai
[Chorus: Everlast]
Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe coke fanta aaaaaaa

[Hook: Everlast]
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la

[Verse 3: Kristoff]
Nataka twende home tukule uganga (nga nga)
Na maBar-soaps baby nimejipanga
Niantaje kama habibu na manga
Can you be my chick baby girl kifaranga
Na ukuje kama odijo maodiro
Juu nimechoka kukuchungulia kwa diro
Mimi ni baba one mi si baba zero
Najua unanijua ushaniona kwa mafilo
Shake your bum bum
Nipe namba
Juu umebamba siezi kuvutavuta kama kamba
Shake your bum bum
Nipe namba
Juu umebamba siezi kuvutavuta kama kamba
[Chorus: Everlast]
Cheki Mwanaume nimekula sembe
Juu mpaka chini Niko na zigwembe
Twende Muliro tukunywe coke fanta aaaaaaa

[Hook: Everlast]
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Baby njoo unipe gudi gudi
Gudi gudi la Gudi gudi la