[Intro: Bahati & Mejja]
(E-E-EMB Records)
To-toto si toto (Ooh lala)
Nimeshinda lotto (Ooh lala)
Kukupata mtoto (Ooh lala)
Basi wewe wanani?
Niambie wanani? Aah, Okonkwo
Wanani? Haha
Kama sio wangu tu
[Verse 1: Mejja]
Beshte yako, ni hater, naona hatutakii (Hatutakii)
Ni mtiaji itabidi umtie zii (Yow)
Mahater mi huwatafuta ka shimo ya shindano
Huyu manzi ni mhandi, anakaa kuitwa Miano (Haha)
Mchoree (Eeh), mwambie apotelee (Yow)
Mwambie nakupenda itabidi azoe (Haha)
We' ni mrembo nakutamani
Wao huskia wivu ulipenda, msee wa kitambi
[Verse 2: Petra]
Nobody can ever take your place, you know is not gonna happen
'Cause I'm not an average typa lady
That's why they tried to hate me baby
Just tell me you got me, and I'll forever stay true
You won't ever see me, on another man's rules
Moyoni mwangu wewe ndo wawakilisha tu
Hata wafanyeje, uko stuck like glue (Oooh)
Umeshinda lotto, kunipata mtoto
[Chorus: Bahati]
Basi wewe wanani?
Niambie wanani, wanani?
Kama sio wangu tu
Basi wewe wanani?
Niambie wanani, wanani?
Kama sio wangu tu
[Verse 3: Odi wa Murang'a]
Toto si toto ni urojorojo
Apple of my eye, nakuuma kimangoto
Aliyekuzaa lazima pia akuwe na uhondo
Ulimi sacco wakupati, putharing omongo
Mtoto ni mkia, na ametoka Busia
Ukitaka poshomill mwana wa efue nitakushikia
Nikupeleke Murang'a huko kwa Mwangi wa Iria
Tukule hizo manyeni na thufu ya togotia
[Verse 4: Ssaru]
Mtoto nimeweza hadi nakujanga kwa ndoto
Ye' hataki niende kazi wala hataki niende soko
Anaogopa siku moja, mi nitatekwa na masonko
Kwako nimerelax mi ata sitaki nyoko nyoko, aah
Nyoko, nyoko za warazi wanoko
Kwanza ebu baby poze ndo tupige photo moto
Ukipost pale Insta' watasema mi ni poko
Harusi ni ya waras, tunaifunga kimangoto
[Chorus: Bahati]
Basi wewe wanani?
Niambie, wanani, wanani?
Kama sio wangu tu
Basi wewe wanani?
Niambie wanani, wanani?
Kama sio wangu tu
[Verse 5: Benzema]
Aah, skiza skiza aah
Haters wanasema mteme ndo upenye
Nawajibu hii ni ndoa iliundwa heaven
Usiseme sikusema watasema
Watachoka na wataachana mapema
Kuwa offender, nitakuwa the defender
Bulletproof tutabuy pia na mandeng'a
Alejandro sitainyonya kama nectar
Nitaimarinate na tomato sauce ya Peptang
[Chorus: Bahati]
Wanani, niambie wanani?
Wanani? Kama sio wangu tu
Basi wewe wanani?
Niambie wanani, wanani?
Kama sio wangu tu
[Outro: Bahati]
Toto si toto (Ooh lala)
Nimeshinda lotto (Ooh lala)
Figa moto (Ooh lala)
Baby, baby
Toto, toto si toto (Ooh lala)
Nimeshinda lotto (Ooh lala)
Kukupata ndoto (Ooh lala)
Oh, oh