Darassa
Romeo
[Intro]
Lala lala lalalala lalala
Lala lala lalalala lalala
Ah na let me hear you say
If you feel what i feel let me hear you sing
Lala lala lalalala lalala
Mmh
Lala lalala S2kizzy Baby lala lalala

[Verse 1 : Darassa]
Hisia bhana ukizilazimisha
Unaweza kuingia mlangoni ukatokea kwenye dirisha
Nikisema nakupenda naamaanisha
Mapenzi sio nguo bidhaa ya kujaribisha
Love ni aset, love sio market
Love ni private, love sio concet
Love ni magnet, ku connect
Kufanya updating na new setting

[Chorus : Zuchu]
Romeo please make me your Juliet
Tufanye iwe easy tusi complicate
Oh my baby sweet chocolate
Romeo please make me your Juliet

[Verse 2 : Zuchu]
Romeo fix me course i'm broken mwenzako
Romeo teach me niwe mwanafunzi wako
Stay with me nishakupenda mwenzako
Ah, uwe wangu mi milele niwe wa kwako
Sijakupendea hela hela hela hela hela (I appreciate your love baby)
Nimekupenda msela msela msela msela msela (Wacha nikupe kila kitu)
Sijakupendea hela hela hela hela hela (I appreciate your love baby)
Nimekupenda msela msela msela msela msela (From my heart, my soul, my body
My mind I appreciate your love)
[Chorus : Zuchu]
Romeo please make me your Juliet
Tufanye iwe easy tusi complicate
Oh my baby sweet chocolate
Romeo please make me your Juliet

[Verse 3 : Darassa]
Mi na wewe tuna connection
Jumping in the ocean
No second option
Kwako mimi no second option
Funga njia Penzi langu mbawa litapaa
Zima Taa Penzi langu Nyota litang’aa
Haliwezi kufubaa kuchaa au kusinyaa
Penzi lina ng'alisha hata kama unapigwa Jua la Dar
Team sio Team bila kocha
Na hata simu sio simu bila vocha
Wodadadang wodadadang gang gang
Mahaba niuwe nishoot gurn bang bang

[Chorus : Zuchu]
Romeo please make me your Juliet
Tufanye iwe easy tusi complicate
Oh my baby sweet chocolate
Romeo please make me your Juliet
[Outro]
Lala lala lalalala lalala (I appreciate your love baby)
Lala lala lalalala lalala (Wacha nikupe kila kitu)
Lala lala lalalala lalala (I appreciate your love baby)
Lala lala lalalala lalala (From my heart, my soul, my body
My mind I appreciate your love)