Darassa
Wolo
[Intro]
Wolo wolo
Movie unaweza rewind
Nyimbo unaweza repeat
Ila maisha una play mara moja tuu
Wolo wolo

[Verse 1]
Hili jiji sheria zake kama msitu
Usipokula utaliwa wewe leo usiku
Free my people from struggle za kila siku
I'll drink double to that furaha ndo kila kitu
If you got no love basi hauna utu
Wako Mbwa Mwitu kila mtu sio mtu
I know you got some ideas in your head
This massage might change your mind set

[Pre Chorus]
Kuna vitu utapitia and you won't forget
Kuna vitu watakwambia wakutoe kwenye mech
Don't sweat, berry it inside your chest
Kisicho kuuwa kita kukomaza to be the best

[Chorus]
Movie unaweza rewind
Nyimbo unaweza repeat
Ila maisha una play mara moja tuu
Wolo Wolo
Mara moja tuu
Wolo Wolo
We only live oncе
Movie unaweza rewind
Nyimbo unawеza repeat
Ila maisha una play mara moja tuu
Wolo Wolo
Mara moja tuu
Wolo Wolo
We only live once
[Verse 2]
When you're hatters come to check kama hauko fresh
Make sure you wear that smile face
And make sure you counting every blessing
Make it worth every breath, nothing less
Usichukulie poa poa tuu
Things might not go the way you want to
Work so hard make yourself useful
When you start to get some money life is beautiful

[Pre Chorus]
Kuna vitu utapitia and you won't forget
Kuna vitu watakwambia wakutoe kwenye mech
Don't sweat, berry it inside your chest
Kisicho kuuwa kita kukomaza to be the best

[Chorus]
Movie unaweza rewind
Nyimbo unaweza repeat
Ila maisha una play mara moja tuu
Wolo Wolo
Mara moja tuu
Wolo Wolo
We only live once
Movie unaweza rewind
Nyimbo unaweza repeat
Ila maisha una play mara moja tuu
Wolo Wolo
Mara moja tuu
Wolo Wolo
We only live once
[Outro]
Wolo Wolo
Mara moja tuu
Wolo Wolo
We only live once
Wolo Wolo
Mara moja tuu
Wolo Wolo
We only live once