Darassa
Breakdown
[Intro : Darassa]
Bang bang bang, yooooh
When you hear the sound
Bang bang bang!!
It is a proof for living life

[Verse 1 : Darassa]
Hey! Ladies call your friend
Ladies call your friend
Bwana trone ana mapesa
Leo anataka kuspend, weeee
Umeachwa mataa ya jiji
Kisa umeombwa hela ya wigi
Mi gwiji, ng'ombe natoa zizi
Nilisha honga kijiji, kinaitwa itigi

[Pre-Chorus : Darassa]
Ttu ttu ttu ttu, ttu twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta! lazima
Ugeuke
Ttu ttu ttu ttu, ttu twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta! lazima
Ugeuke
[Chorus : Darassa]
Breakdown, breakdown
Una breakdown, vitu visiwe vingi sana
Breakdown, breakdown
Oya breakdown, usije ukaingia chaka
Breakdown
And when you hear that sound
It's thе proof we living life
When you hеar that sound…

[Verse 2 : Alikiba]
Naitwa majinaa, ufalme ni heshimaa
Wengine wananiita mmasai wa mjini
Wakiona simba, wanapigia mimi
Dada mwaajumaa, sister carolina
Ukiitwa kwa jina
Twende bilinge bilinge, yani mpaka chini
Jiachie basi, niinue nikutunze
Nikupe maxi
Fanya kama hautaki
Mgongo kama vile unakanda chapati
Maisha yanazidi kupanda bei
Kazi yangu ni ku make sure you doing okay
Bata la paris huko, forget dubai
Na mambo yetu mengine, tutafanya all the way
[Pre-Chorus : Alikiba]
Ttu ttu ttu ttu, ttu twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta! lazima
Ugeuke

[Pre-Chorus : Darassa]
Ttu ttu ttu ttu, ttu twe
Mwaga radhi mchana kweupe
Uswahilini code hizo chipupute
Ukishikwa ta! lazima
Ugeuke

[Chorus : Darassa]
Breakdown, breakdown
Una breakdown, vitu visiwe vingi sana
Breakdown, breakdown
Oya breakdown, usije ukaingia chaka
Breakdown
And when you hear that sound
It's the proof we living life
When you hear that sound