Darassa
Love Is Crazy
[Verse 1]
Kupigwa vijembe na vijino Pembe
Hiyo vita nshashinda
Wanasema ukitaka cha uvunguni mgongo una upinda
Ni ile hali ya kumpenda mtu mpaka mwingine ana cheka ujinga
Yani love nginja nginja
Mapenzi yako yana uninja uninja
Kwenye penzi lako mi che cheke chekea
Kwenye penzi lako mi ni mteja nabembea
Kama ume washa moto nateketea
Uta ruka mkojo uka kanyaga mabalaa
Uka kutana na majaa wakaleta karaha
Some people don't know better, they know nothing about love, they don't even
Know what they got
For Me you don't deserve that
Ntakomaa na wewe even though your life is harder
Ntachange life ntafanya vitu kadha wa kadha
We ni Queen kabisa la kuvimba Ki Big Dada

[Chorus]
Umenileta mbali
Usinishushe mawinguni
Mapenzi bahari
Wasikurubuni
Love is crazy, love is crazy
Love is crazy, love is crazy
[Verse 2]
In min In min man Mo
I feel like I'm going out bontrol
Wherever you give me baby give give me more
Mapenzi kupenda Roho tu kwa roho
Rrrampa Ppapam Bampa to bampa
Maana sijui ka nacheka au nalia
Sama Mapangala Vanga au samba
Indicate ya kushoto na kunja kulia
You confuse me I'm walking and I didn't tied my shoes
Una maujuzi unashona mkeka kwa nyusi
When you hear people talking about love they talk about me and you
Jinsi unavyo nichanganya mi nahisi you know what you do

[Chorus]
Umenileta mbali
Usinishushe mawinguni
Mapenzi bahari
Wasikurubuni
Love is crazy, love is crazy
Love is crazy, love is crazy