Darassa
Looking For Love
[Verse 1 : Darassa & Mbosso]
Mapenzi yakianzia ten kazi kubwa ni ku maintain
Nilishatoka na demu magomeni tukaja kumwagana mikocheni
Nika repeat again and again and again and again and again
Hakuna nilicho gain zaidi pain
(Eeeeeh aaaah) sa si nkae ntulie
Nimeiweka rehani roho yangu mimi
Penzi ni mitihani kila siku mimi
They told me love is working of magic
I have been praying for something like this
Wait and waiting sana, make so many wishes
Usiku na mchana I make so many wishes
Some people tell me that is not exist
Unaona ndoto za mchana vipi
Kunywa maji kwanza pumzika kwa kiti
Na uvute pumzi that love doesn't existing

[Pre Chorus : Darassa]
Nimeenda west Africa I’m looking for love
They tell me love don’t live here
I havе been to South and North desper for love Napishana na wapita njia
East and cеntral Afrika wapi kuna love
Kila nna muulizia
Across around the world seeking for the love They tell me love don’t live here

[Chorus : Mbosso]
Niseme nini
Niseme sina bahati ama mambo hayaja nyooka
Nnae mtaka simpati labda tatizo ni nyota
Ama usela usela, nipunguze usela
Maana mapenzi na usela nikutia chumvi kwenye pera
Usela usela nipinguze usela
Maana mapenzi na usela nikutia chumvi kwenye pera
[Verse 2 : Darassa]
Kutafuta pesa sishindwi kwa njia zote hustle nazijua
Ila mapenzi ndo inayo nizuzua
Na yakipanda kichwani inanizingua sanaa
Nakunywa pombe kali huko ndani maini inaungua
Navuta sigara nachoma kifua yote mapenzi ndio inayo nisumbua sanaa

[Verse 3 : Mbosso]
Ooh mapenzi kilio nenda waulize wenzio
Ni mdudu waskio akikung’ata husikii la yeyote
Oooh kilio nenda waulize wenzio
Ni mdudu waskio akikung’ata husikii la yeyote

[Pre Chorus : Darassa]
Nimeenda west Africa I’m looking for love
They tell me love don’t live here
I have been to South and North desper for love Napishana na wapita njia
East and central Afrika wapi kuna love