Darassa
Mind Your Business
[Verse 1]
Ukiwin Dar es Salama kuishi ni Cv
Fish anakula fish life of the sea
You gotta look for the key
Nothing is free
Jiji halijakaa kaa kimapenzi Mr T
Nilipotea Sinza mitaa ya ndani ndani
Nikaomba wasamaria wema nipate ramani
Aunt aunt samahani
Kwani we una bei gani ?
Aaah mi mgeni nilikuwa nauliza hii njia inaenda Kanisani
Si ndo nakutana na Shabani namjua
Namsalimia Shebby ? Anauchubua
Shebby ? Anasuasua
Au I’m not sure ?
Kumbe huku anakwenda kama Pastor Joshua
Ukiangalia bodi ya gari ngangari
Kumbe jitu kubwa jumba kilakshari
Unaambiwa hakuna kuparty mpaka ugonge mchumari
Nakuna habari kama watu wanaponda mali
[Chorus]
Mind Your Business Mi Sina Noma Na We
Mind Your Business As Long As You Don’t Get In My Way
Mind Your Business Mi Sina Noma Na We
Mind Your Business As Long As You Don’t Get In My Way
[Bridge]
Eyes on prize, eyes on prize
Ladies and gentlemen sasa tuko wazi
Eyes on prize, eyes on prize
Tajiri kapagawa bei tumemwaga radhi
[Verse 2]
Kujiongelesha upuuzi
Mashauzi Makuzi Makuzi
Kelele nyingi fujo miluzi
Mbona that is not big news
Kesho kuna dalili kinakuja kimbunga
Fungia watoto ndani kwa nyumba
Wanasayansi maji yamezidi unga
Kula kula tu ujinga utakunya pumba
You want to avoid problems
It's very simple mind your business
And what you want trouble you people
Mind your business
[Chorus]
Mind Your Business Mi Sina Noma Na We
Mind Your Business As Long As You Don’t Get In My Way
Mind Your Business Mi Sina Noma Na We
Mind Your Business As Long As You Don’t Get In My Way
[Bridge]
Eyes on prize, eyes on prize
Ladies and gentlemen sasa tuko wazi
Eyes on prize, eyes on prize
Tajiri kapagawa bei tumemwaga radhi
[Outro]
Mind Your Business Mi Sina Noma Na We
Mind Your Business As Long As You Don’t Get In My Way
Mind Your Business Mi Sina Noma Na We
Mind Your Business As Long As You Don’t Get In My Way